Fashion n' Modelling

AJABU NA HAIJAWAHI KUTOKEA..

Siku zote tumekuwa tukisikia kwamba wasichana wenye age ndogo ndio wanaopendelea kujishughulisha na maswala ya Umiss.. ama Umodell. lakini leo kutana na Bibi walioenda age zao wakipita jukwaani nao kuonyesha their Talents katika maswala mazima ya Umodell. na wanakwambiaje wameishi miaka yote lakini biashara hiyo ndo wamekuja kuifanya sasa hivi Uzeeni. LOL!!!

Huyu akifatisha sheria kwa kushika kiuno kabisaaaa...


Mimi ndo kwanza naingiia jukwaani.


Bibi akitisha Jukwaani.

Sina Habari just Check me pass by.

Nakatiza pia.


Na mimi Nilikuwepo Jamani.

No comments:

Post a Comment