Monday, June 18, 2012

HAYA SASA NDEGE MNANA HUYU...



LINA SANGA a.k.a NDEGE MNANA.

Ni miezi kadhaa sasa Tangu NDEGE MNANA(Linah) azitikise Stage za hapa Tanzania.. Na sasa SHE IS BACK!!! Ni ndani ya jumapili hii ya tarehe 24 katika New MIaisha Club, anatarajiwa kufanya shoo yake ya kwanza kabisa jijini Dar Es Salaam. Atashirikiana na  Mwana FA, Country Boy, Ditto, na EX - BOYFRIEND wake AMINI mzee wa Robo Saa. Show hiyo itapigwa kwa mtindo wa  LIVE BAND, Itaanza majira ya saa 4usiku na kiingilio chake ni Elfu 7 tu. (7000Tshs).

No comments:

Post a Comment