Wednesday, June 27, 2012

KIDEO KIPYA CHA PIPI

After kama miezi kadhaa ya kukaa kimya.. sasa mwanadada Pipi amekuja na Kichupa chake kipya kinachoenda kwa jina la "Unapokuwa Mbali". Video production hiyo imefanywa na Promo Only, huku nguo akidesigniwa na Mtoko & Segito Designs na kudirectiwa na Benjamin Busungu

WATCH IT...


No comments:

Post a Comment