![]() |
LINAH.. |
Linah kusafiri leo kwenda Zanzibar kuperform kwenye Tamasha la ZIF. Baada ya wasanii wengine waliopita kama Barnaba, Diamond, AT, Wahu toka Kenya, Band ya Jazz toka Zanzibar na wengineo toka sehemu mbalimbali kuperform siku zilizopita. Leo ni zamu ya Linah na Shilole kutikisa Mioyo ya Wazanzibari. Josse Chamillion naye toka Uganda ama Shetta na Roma kwa habari zilizoko wanaweza kuperfom kesho katika Tamasha hilo linalofanyikaga kila mwaka Zanzibar, na kushirikisha wasanii kutoka meneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.
Linah na Shilole wanatarajiwa kupanda kwenye stage kuperfom ifikapo saa Tano usiku.
No comments:
Post a Comment