Barnaba Joseph. |
Hivi karibuni katika tasnia ya Bongo fleva, kijana Barnaba Joseph, alijaribu kutaka kuilaghai jamii ya wananchi wa pande za Karatu kwa kujifanya yeye ni Barnaba Orijino, na mwisho wa siku kuambulia makubwa toka kwa wananchi hao wenye ufahamu mzuri tu juu ya Barnaba Orignal.
Yasemekana kwamba baada kuzuka kwa Tafrani na vurugu za hapa na pale juu ya kitendo cha kijana huyo.. eti Alifunguka na kusema 'Aliandaliwa shoo akafanye lakini hakujua kama kule karatu watu wametangaziwa atakayekuja ni Barnaba Boy toka jumba la vipaji yan T.H.T.
Picha n story by Millardayo.com
No comments:
Post a Comment