![]() |
| Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Sharo Millionaire Linavyooneka hapa kwenye picha likiwa Nyumbani kwa Muheza Tanga Leo hii majira ya Mchana. |
![]() |
| Shehe akiongoza Dua ya Kumwombea Marehemu Sharo Millionaire nyumbani kwao Muheza, Tanga. |
![]() |
| Ndugu, Jamaa na Marafiki wakioneakana kwenye picha hii Nyumbani kwa kina Marehemu Sharo Mllionaire wakati wa Mchana siku ya Leo Muheza, Tanga. |
![]() |
| Hapa ndugu,Jamaa na marafiki wakimwombea Dua Marehemu Sharo Millionaire Nyumbani Kwao Muheza, Tanga. |
![]() |
| Muigizaji na Rafiki wa karibu zaidi na Marehemu Mzee Majuto akiwa ameshikiliwa wakati wakiwa kwenye Eneo la Mazishi huko Muheza Tanga siku ya Leo. |





No comments:
Post a Comment