![]() |
DAVE D |
Msanii chipukizi toka jumba la vipaji Tanzania (T.H.T), aliyewahi kusikika na wimbo wa Zinda hapo awali.. sasa ameibuka na ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "AKADUMBA" aliyoshirikiana na msanii mwenzie anayefahamika kwa jina Ali Nipishe, ambayo mpaka sasa imeshaanza kufanya vizuri katika baadhi ya vituo vya televisheni nchini.Bado wimbo huo haujaachiwa Audio yake ila muda si mrefu atauruhusu kuanza kupigwa kwenye vituo vya redio nchini.
No comments:
Post a Comment