Friday, June 15, 2012

NIMEIBAMBA....


Katika pitapita zangu nilibahatika kukutana na show ya kwanza kabisa aliyoifanya Linah toka arudi Marekani. Show yenyewe ilikuwa ni ya Lady in Red,  ambayo ilifanyika mkoani Iringa.

Hizi ndio Picha nilizozibamba katika shoo hiyo :
Hapa akiwa anaimba kwa hisia kuwashika mashabiki.


Hapo sasa Shabiki ameshakamatwa


Na sasa mashabiki wameshavuliwa kama Samaki.

No comments:

Post a Comment