Ni video mpya kabisa iliyofanywa hapahapa nchini Tanzania na kampuni ya I - View Studios chini ya mkono wa Raqey. The girl Anaitwa Tazneem and she's Canadian, ambaye hivi sasa ameamua kuhamishia biashara zake za muziki hapa Bongo.
Na za chinichini ni kwambaaa... kuanzia Daily Exercises mpaka vocal training zote amefanyia T.H.T. Na kikubwa ni kwambaaa.. hata Audio Recording yake, nayo imefanyikia hapahapa Bongo huku ikiwa imesimamiwa na Studio za Sorround Sounds zilizopo T.H.T chini ya Producer Tuddy Thomas!!!
WATCH IT...
No comments:
Post a Comment