Saturday, June 30, 2012

SIRI YA KIM KARDASHIAN YA KUWANASA WANAUME KIURAHISI YAFICHUKA..

Hatimaye ile sababu inayowafanya wanaume wanase kirahisi kwenye 18 za mwanadada Kim Kardashian sasa "IMEGUNDULIKA...."
Imetajwa kuwa mwanadada ni noma kwelikweli kwenye maswala ya kujipikilisha mivyakula jikoni.. Akikupikia na kukutengea mezani basi we ukishakula ni lazima utahitaji kula chakula kingine kilichopikwa na mdada huyo.
Hata Ex boy wake Raggie Bush... amewahi kusikika akitamka kwenye moja ya interviews zake katika gazeti la Ok kwamba... "Kim ni mwanamke ambaye ukimtazama kiharaka haraka huwezi jua km ni mkali kwenye maswala ya mapishi. Hata hivyo.. kiukweli Kim alininasa kwa sababu ya crayziest meal zake tu. Coz kiukweli  She is the first girl that's cooked meal for me. That's honestly how she got me with the food".
KIM & KANYE WEST
KIM & RAY J
KIM & REGGIE BUSH
KIM & KRIS HUMPHRIES


No comments:

Post a Comment