 |
HENRIETH PAUL |
Henrieth Paul ni binti wa kitanzania mwenye miaka 16, ambaye anafanyia shughuli zake za Modeling ughaibuni (Canada). Ni binti mdogo mno ukimuona, but anafanya vizuri kweli nchi za Nje. And she is so famous for her flawless complexion and sweetness.
 |
HENRIETH AKIWA NA RAFIKI |
 |
HENRIETH AKIWA ANATAYARISHWA KWA AJILI YA KAZI |
 |
HENRIETH KAZINI |
No comments:
Post a Comment