Wa kwanza kutoka kushoto ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange, Makanu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Raisi wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu wa pili wa Raisi wa Zanzibar Balozi Seif Idd, Raisi Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Shamsi Vuai, Nahodha na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq, wakiwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo kuhudhuria sherehe za Maadhimisho ya kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Tanzania. |
No comments:
Post a Comment