| Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali aliowaalika katika Futari katika ikulu ya mjini Mbeya jana jioni. |
| Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi muda mfupi kabla ya Futari ambayo aliwaalika viongozi wa dini mbalimbali mjini Mbeya jana. |
| Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akiwa anaongea jambo fulani na Viongozi wa dini mbalimbali mjini Mbeya jana. |
No comments:
Post a Comment