 |
Mr. Mohammed Sharif akiwa na Mh. Vicky Kamata alipomtembelea offisin kwake. |
Anaitwa Mohammed Sharif mwenyeji wa Tanga, ni Mtanzania anayeishi nchini Dubai, ambaye ni mmoja kati ya watu maarufu wanaodesign majengo mbalimbali ndani ya nchi ya Dubai. Moja kati ya mjengo alioudesign Mtanzania huyo ni DUBAI SPORT CITY. Pia katika ziara ya muda mfupi ya hivi karibuni ya mheshimiwa Vicky Kamata ndani ya Dubai, alifanikiwa kupata nafasi ya kuzunguka katika baadhi ya maeneo mbalimbali aliyowahi kuyafanyia kazi bwana Mohammed na kushuhudia ubunifu wa hali ya juu wa Mtanzania huyo.
 |
Mr. Mohammed Sharif akionyesha moja ya plan ya jengo alilolibuni ndani ya Dubai. |
 |
Hapa jengo alilobuni Mr. Mohammed Sharif likiwa limeshaanza kujengwa. |
 |
Mr. Mohammed Sharif akimuonyesha Mh. Vicky Kamata jengo lingine alilobuni. |
 |
Na huu ni mji kamili uliobuniwa na Mr. Mohammed Sharif ndani ya Dubai. |
No comments:
Post a Comment