Tuesday, August 21, 2012

DAR LIVE NA IDDY.. MATUKIO KATIKA PICHA

KHADIJA YUSUF  wa Jahazi Modern Taarabu akifanya vitu vyake siku ya Iddy ndani ya  ukumbi wa Dar Live
Bondia "MANENO OSWALD" akitangazwa kuwa mshindi mara baada ya kushinda pambano lililomkutanisha na  bondia mwenzie RASHID MATUMLA.

Linah akiwajibika stejini ndani ya ukumbi wa Dar Live siku ya sikukuu ya Iddy


Mwasiti naye akishambulia steji ya ukumbi wa Dar Live siku ya sikukuu ya  Iddy


Maunda Zorro naye akifanya vitu vyake siku  ya sikukuu ya Iddy ndani ya ukumbi wa Dar Live


Mwasiti na fan wake katika picha.

Linah na fan wake katika picha.







No comments:

Post a Comment