 |
Miss World Tanzania LISA JENSEN.
|
Mwakilishi wa miss world toka Tanzania Lisa Jensen hatimaye amerudi nchini akitokea China alikokwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya miss world. Lisa alifanikiwa kufika katika hatua ya robo fainali ya Top Model na kumi bora ya shindano la Multimedia Awards alipokuwa nchini China.
MATUKIO KATIKA PICHA ALIPOKUWA ANAWASILI NCHINI.
 |
Lisa Jensen akiwa katika pich ana mkurugenzi wa mwenyekiti wa kamati ya miss Tanzania ndugu Hashim Lundenga. |
 |
Lisa Jensen akiwa na mshindi wa redd's miss world namba mbili Hamisa Hassan. |
 |
Lisa akiwa na viongozi mbalimbali wa kamati ya miss Tanzania mara alipowasili katika maeneo ya uwanja wa ndege wa JNIA Dar es Salaam walipofika kumpokea. |
No comments:
Post a Comment