Tuesday, August 21, 2012

COLABO MATRATRA.. TOKA KWA MICHAEL(MSWEDEN) FT AMIN & AT

Ni video mpya kabisa inayokwenda kwa jina la "TUNAFANYA MAMBO". Video imefanywa na Kwetu Studios, na kurecodiwa katika studio za Kiri Records chini ya produzya ambaye ni yanki kabisa C9 kanjenje.
Humo ndani ya wimbo huo kuna vitu matata vimefanyika. Cheki msanii toka Sweeden Michael Osterberg akijaribu kufanya rapping kwa kiswahili, then Amini naye akiitumia nafasi yake vilivyo.

Swali...

JE UMEWAHI KUMUONA AT AKICHANA??? Check it in here...!!!

No comments:

Post a Comment