Tuesday, August 21, 2012

LINAH KUACHIA NYIMBO YAKE MPYA LEO!!!

Hatimaye sasa mwanadada ESTELINA SANGA ameamua  kuachia ngoma yake mpya mara baada ya kuwa na wakati wa kutojua ni ngoma ipi kati ya ngoma zake mbili kali alizotaka kuziachia hivi karibuni. Lakini maoni ya wadau yamefanya kazi na sasa ameamua kuachia wimbo unakwenda kwa jina la "USHAFAHAMU".
LINAH.
Kama mdau na shabiki wa muziki wa Bongo fleva kaa tayari kuisikia ngoma mya ya mwanadada huyo iki -fly hewani kupitia vituo mbalimbali vya redio.

No comments:

Post a Comment