Monday, August 27, 2012

FIESTA 2012 TANGA KIMENUKA MBAYAAAAAA!!!!!



MKUU WA WILAYA YA TANGA AKITANGAZA WASHINDI WAWILI  WA LIOJISHINDIA PIKIPIKI KUTOKA KAMPUNI YA PUSH MOBILE.



DJ ZERO WA CLOUDS FM AKIFANYA VITU VYAKE KWENYE MASHINE.


NURU AKIKAMUA KWENYE STEJI NA MOJA YA SHABIKI ZAKE.

SUNDY GAGA TOKA TANZANIA HOUSE OF TALENT AKILISHAMBULIA JUKWAA.

JUKWAA LA FIESTA TANGA LINAVYOONEKANA KWA MBALI.

MOJA YA MSANII ALIYEIBULIWA NA "SUPA NYOTA" AKIONYESHA UWEZO.

MASHABIKI WAKIWA ATTENTATION KUANGALIA KINACHOENDELEA KWENYE JUKWAA LA FIESTA TANGA!!!! 


RECHO NAYE AKIWAPULIZA NA UPEPO MASHABIKI WA FIESTA TANGA .

FIESTA 2012 BHAAAASS!!!


DIVA LOVENESS LOVE & MILLARD AYO WAKIWA KAZINI.


MILLARD AYO, SEBASTIAN MAGANGA, DIVA LOVENESS LOVE, SUDY BROWN, SIMALENGA NA WASHKAJI KATIKA PICHA YA PAMOJA!!! 









No comments:

Post a Comment