![]() |
| DOREEN a.k.a PIPI |
Msanii maarufu wa kike nchini aliyewahi kutamba na kibao cha "njia panda" mnamo mwaka 2007 alichoshirikishwa na Barnaba mwaka 2007 DOREEN a.k.a PIPI, anatarajiwa kuitwa mama baada ya wiki Moja.
Ndugu wa karibu na msanii huyo alizungumza hayo huku akiwataarifu baadhi ya marafiki wa Pipi kutoka jumba la vipaji Tanzania katika maeneo ya T.H.T.
*BONGO LOOKUP INAPENDA KUMPA PONGEZI PIPI KWA KUAMUA KUWA MAMA MTARAJIWA!!!

No comments:
Post a Comment