Tuesday, September 4, 2012

DIAMOND ATUSUA SHOW YAKE IN WASHNGTON DC

Imeonekana kuwa baadhi ya wasanii wa bongofleva kutoka nchini Tanzania wanafanya vizuri sana katika nchi za mbele. Here it is Diamond Platnumz amethibitisha hilo baada ya shoo yake aliyoifanya Pale mitaa ya Washngtone DC kwenda vyema sana.
Umati uliofurika kwenda kushuhudia shoo hiyo ulikuwa ni kuzidi kikomo kiasi kwamba kuonyesha how BONGO FLEVA na ARTISTS wake wanalink vyema maeneo hayo. Pia Watanzania waishio nchi hizo nao wameonekana kuisupport vyema tasnia hiyo kwa kushowup everyday in different events zihusizo  wasanii wa kutoka nyumbani (Tanzania).

CHECK OUT...









No comments:

Post a Comment