![]() |
MUSSA a.ka. SAMALE |
Kama kuna vijana hapa duniani mungu aliowabariki kwa kuwapa vipaji vingi, basi kijana huyu amebarikiwa. Anaitwa Mussa a.ka SAMALE. Kijana huyu anaweza kufanya vitu vingi sana katika tasnia hii ya "ENTERTAINMENT". Anaweza kufanya vitu kama Kuimba, Kupiga Gitaa & ngoma, kucheza, kuigiza, kufanya Choreography, na kama unaevents na unahitaji kuishoot, basi yeye anaweza kufanya kazi hiyo pia. nikimaanisha kwamba ni Camera man mzuri sana.
Na hivi sasa ameachia wimbo wake unakwenda kwa jina la "MZUNGU WA NNE" video ambayo ameishoot yeye mwenyewe.
CHECK IT OUT...
No comments:
Post a Comment