Hatimaye msanii wa muziki wa kizazi kipya almaaarufu kama Bongo Fleva, Doreen Ponera a.ka. PIPI kutoka jumba la vipaji Tanzania Kuitwa Mama Rasmi.
Pipi alijifungua mtoto wa kiume siku ya Ijumaa ya tar. 14 ya wiki iliyopita kwenye majira ya saa Mbili usiku, Na kumpachika jina la 'Kingstone' mtoto wake huyo!!!
NA HIZI NDIO PICHA TATU KALI ZA MTOTO WA PIPI.
No comments:
Post a Comment