Monday, October 8, 2012

SERENGETI FIESTA 2012 ILIVYOTIRIRIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JUMAMOSI.

 KWA PICHA NYINGI ZAIDI NENDA KWENYE PAGE YA PARTIES & EVENT UJIONEE..

TIME YA MSHINDI KUCHUKUA CHAKE.


YOUNG KILLER KWA STAGE.
ARTISTS WA BONGO KWENYE PICHA YA PAMOJA.

MILLARD AYO, FETTY & B12.

RECHO AKIWAZUNGUSHA NA AKIWAPULIZA MASHABIKI.

DIAMOND & DANCER WAKE KAZINI.

RASHAC WAKIONYESHA UWEZO KWA STAGE.

LINAH AKIWAIMBISHA MASHABIKI.

FA AKISEMA NA MASHABIKI.

"FROM HOME" NDINGA ILIYOMLETA RICKY ROSS UWANJANI LEADERS CLUB.

"BIG BOSS" RICKY ROSEEEY KWA STAGE.
SHABIKI AKIJARIBU KUDAKA MATUKIO.

DYNAH & BARNABA WAKITIRIRIKA KWA STAGE.
MASHABIKI WAKITIRIRIKA...


MOJA YA SEHEMU YA KULIA BATA NDANI YA TAMASHA HILO.


"NA MIMI NINAYO TATTOO" - MANEKE (TUMBO WAZI)  & TUNDA MAN.

No comments:

Post a Comment