![]() |
BARNABA. |
Kumbe Barnaba alipata barua ya Ugeni Rasmi iliyomfanya awemwalimu wa washiriki hao karibia wiki nzima na mwisho wa siku kuwapa Radha mashabiki wote wa shindanano hilo Pale hotel ya Budget iliyoko maeneo ya kunduchi.
"Nilifurahi kukutana na vijana wenzangu ambao wote wanajaribu kufanya vizuri ili kuendelea kufika mbali kwenye Tasnia yetu ya muziki ambayo na mimi nimo. Kiukweli niliwapa ujuzi na Ushauri wangu kiasi ili waweze kwenda sawa na game yetu hii ya muziki wa Bongo, pamoja na shindano lao linaliwakbili kwa ujumla". Alisema Barnaba.
Pia Barnaba alisema "Washiriki wa mwaka huu wako vizuri sana, coz karibia wote wanajitambua na wanavipaji hasa. Coz nimewaona wasanii wa ukweli humu, Performers na wanamuziki. Mungu awasaidie Wapate kile wanachokitafuta".
No comments:
Post a Comment