
Ajali mbaya iliyochukua uhai wa watu wawili ilitokea jana jioni katika barabara ya Bagamoyo katika maeneo ya Makongo.
Chanzo cha ajali hiyo ni Gari aina ya Starlet iliyokosea njia na kuigonga Bodaboda iliyokuwa imebeba dereva na abiria mmoja.
Dereva wa Bodaboda hiyo yenye namba za usajili T491 BFY na abiria wake wamefariki papo hapo.
No comments:
Post a Comment