Friday, October 12, 2012

JACLINE NTUYABALIWE SASA KUITWA MAMA WAWILI!!!

K-LYN.
Aliyekuwa miss Tanzania mwaka 2000 na mkali wa vibao kadhaa kikiwemo cha "Nipe mkono" alichomshirikisha Mr blue a.k.a Kabyser, Jacline Ntuyabaliwe almaarufu kama K - Lynn sasa aitwa Mama.
K - Lynn aliyejifungua hivi karibuni amefanikiwa kupata watoto mapacha ambao kwa sasa yeye na watoto wake hao wanaendelea vizuri kiafya.

No comments:

Post a Comment