Friday, October 12, 2012

ENIKA AWAFUNDA WASHIRIKI WA EPIC BSS WIKI HII.

ENIKA.
Mwanamuziki wa kike maarufu tokea Tanzania na makali wa kibao cha "Baridi kali" Enika, wiki hii aliwatembelea vijana wa Epic BSS na kuwacoach mawili matatu ili waende sawa na shindano linalowakabili mbele yao.  
SALMA MSHIRIKI EBSS.
WABABA MSHIRIKI EBSS.
Washiriki hao huwa wanakawaida ya kuletewa wasanii mbalimbali katika mjengo wao na kucochiwa na wasanii hao. Wiki iliyopita tulimwona Barnaba akiwafundisha na kuwashauri vitu kadhaa katika muziki.






No comments:

Post a Comment