Friday, October 12, 2012

RASHAC NA UJIO WAO WA "KANKARAGA"

RASHAC.
Kundi jipya katika tasnia ya bongo fleva linalokwenda kwa jina la RASHAC, limeanza kuja juu kwa kasi ya ajabu.
Kundi hilo linalojumuishwa na wasichana watatu wanaofahamika kwa majina ya "RAYKER"- Rehema, "SHACKY"- Shakira na "CABY"- Beatrice, ambao kwa sasa wameachia ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la "KANKARAGA".
Mzigo huo ulirekodiwa katika studio zilizoko maeneo ya T.H.T almaarufu kama Sorround Sound chini ya Produzya Mahiri na Up coming one E.M.A the Boy.
Kazi hiyo ishaanza kusikika katika redio kadhaa hapa nchini.. hivyo kazi kwako wewe mwanachi kuwafuatilia Warembo hao.

No comments:

Post a Comment