Ile kambi iliyoandaliwa rasmi kwa ajili ya washiriki wa shindano la Miss Tanzania mwaka Huu sasa imezinduliwa. Warembo hao walitimba kambini hapo mapema leo na kupewa maelekezo mbalimbali ya awali ili kwenda sawa kwa kipindii chote ambacho watakitumia kuwepo maeneo hayo. Kambi hiyo imechaguliwa katika hotel ya Girraf. Na hapo ndipo Warembo hao watakapofanyia maandalizi na mazoezi ya o mpaka kitakapoeleweka baadae katika kinyang'anyiro hicho.
No comments:
Post a Comment