Tuesday, October 2, 2012

SHUHUDIA AJALI ILIYOUA WATU ZAIDI YA KUMI NA MBILI MKOANI MBEYA LEO.

Ni ajali iliyotoke mkoani Mbeya leo, maeneo ya Mbalizi na kuua watu wapatao kumi na kujeruhi watu 26 akiwemo Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi CCM mkoani humo Marry Mwanjelwa. Ajali hiyo ilihusisha magari zaidi ya manne ambayo mawili kati ya hayo yaliteketea kwa moto papo hapo na kuleta hali ya mtafaruku katika maeneo hayo.





No comments:

Post a Comment