Akizungumza na Bongo Lookup, kiongozi wa team hiyo alisema.. imebakia Episode moja tu ili kumalizika kwa Season Two ya tamthilia hiyo, ambayo ndani ya wiki hii siku ya Jumatano kwa masaa yaleyale ya kawaida ambayo huwa inaonyeshwa kila siku saa 9.00, ndio itakuwa ni The End.
Wamewasihi wapenzi wao kuiangali kwani itakuwa ikitoa jibu la maswali yote ambayo wananchi walikuwa wakijiuliza ama kwa kipindi chote ambacho ilikuwa ikirusha.
Hata hivyo bado uongozi ulisema unajiaandaa vilivyo kwa msimu unaofuata ili kuzikonga nyoyo za mashabiki wao vilivyo na kuzidisha ubunifu pamoja na utofauti wa season zilizopita.
No comments:
Post a Comment