Thursday, January 17, 2013

MH.RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA NA KUZINDUA AWAMU YA KWANZA YA JENGO JIPYA LA HOSPITALI YA SHREE HINDU MANDAL JIJINI DAR.

Wafanyakazi wa Hospitali ya Hindu Mandal wakiwa wamejipanga kumpokea Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mara atakapo wasili hospitalini hapo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Akiwa amewasili katika Mazingira ya Hospitali ya Hindu Mandal, Huku akipokelewa kwa Heshima zote na Viongozi wa Hospital hiyo.

Mwenyekiti wa Hospitali ya Shree Hindumandal Ramesh Peter Akielezea Historia fupi ya Hospitali hiyo.


Mh.Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Hussein Mwinyi Akizungumza jambo pamoja na Kumkaribisha Mh.Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete kuzungumza na Wafanyakazi wa Hospitali Hiyo pamoja na wananchi walofika kwenye Uzinduzi wa Hospitali Hiyo.

Mheshimiwa Rais wa Tanzania, Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wafanyakazi wa Hospitali ya Shree Hindu Mandal pamoja Wananchi Waliofika kwenye Uzinduzi wa Hospitali hiyo.

Wafanyakazi wa Hospitali ya Shree Hindu Mandal pamoja na wananchi wakisikiliza Wakati Viongozi  Walipokuwa Wakizungumza nao.

Mh.Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete Akishirikiana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Hussein Mwinyi pamoja na Viongozi wa Hospitali ya Shree Hindu Mandal Kukata Utepe kama Ishara ya Kulizindua Jengo Hilo. 


Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete Akiwasha Mshumaa Kama Ishara ya Kuzinduliwa kwa Jengo Jipya la Hospitali ya Shree Hindu Mandal.


Mh.Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete Akipiga Picha ya Pamoja Na Viongozi Mblimbali Waliofika Katika Uzinduzi wa Jengo Jipya la Awamu ya Kwanza la Hospitali ya Shree Hindu Mandal.


No comments:

Post a Comment