Friday, January 11, 2013

USIKUSIKOSE KUSHUHUDIA ALICHOKIZUNGUMZA BARNABA KWENYE BBC SWAHILI LEO SAA 12:30 JIONI!!!

BARNABA AND SALIM KIKEKE.
Baada ya Tour ya kimuziki aliyoifanya nchini Uingereza, na kuipeperusha bendera ya Tanzania kwa kufanya Amaizing show kadhaa nchini humo, Finaly Barnaba Awasili nchini leo Alfajiri.
Akiwa ni mwenye Furaha, mara baada ya kupitia katika ofisi za T.H.T, Barnaba alisema kwa wale wote walionashauku ya kujua Ilikuaje alipokuwa nchini Uingereza, Basi leo Ifikapo saa 12: 30 Jioni, wasikose kusikiliza Intaerview aliyofanya na BBC Swahili, Ambapo Itarushwa hewani na mtangazaji maarufu wa kituo hicho  Salim Kikeke.
Barnaba ameongeza kuwa.. "Kila kitu nimezungumza pale, hivyo Mashabiki wangu wote kwa ujumla wasikose kusikiliza Redio hiyo, kwani najua wengi wanashauku ya kutaka kujua ilikuwaje na nilifanyaje. Na hapo ndipo Majibu mengi ya maswali yenu, Yatakapojibiwa".

No comments:

Post a Comment