Wednesday, February 27, 2013

G-NAKO NA UTABIRI WA VIDEO YAKE..

G-NAKO.

Mkali wa michano kutoka kundi la Weusi, Maarufu kama Baba Yoyoo.. ambaye alipachikwa jina hilo mara baada ya kutoa ngoma yake ya Mama Yoyoo aliyomshirikisha Ben Pol.. hivi karibuni Amekuwa akiifikiria Video ya wimbo wake huo.. na kuitabiria mengi.

Moja ya vitu ambavyo Baba Yoyoo.. amekuwa akionekana kuwa na matumaini nacho ni juu ya video yake hiyo kufanya vizuri sana mara pale itakapotoka.
Akiongea kwa ujasiri jamaa amesema "Shunguli za uandaaji na mazingira mazima ya script ya video hiyo jinsi zilivyo.. Nina-dare kusema lazima My Mama Yoyoo Video... iwe One of the amaizing video ambazo zimewahi kufanyika na kutokea hapa Bongo".

Sasa wadau na mashabiki wote wa weusi kaeni tayari kuingojea video hiyo kwani jamaa alichosema after hapo ni kuwa... "The Video Will be Ready Soon coz Hata mipango yake Imeshasimama!!!"

No comments:

Post a Comment