Monday, February 25, 2013

RECHO AITAZAMA KWA UTOFAUTI SIKU HII DUNIANI.

Recho Kizunguzungu.
Msanii wa kike nchini Recho, Ambapo wananchi walimbatiza jina la mama kizunguzungu mara baada ya kuachia kibao chake cha kwanza kabisa cha Kizunguzungu.. Amekuwa busy kui-define siku ya tarehe 25 ya mwezi wa pili ya kila mwaka kwa kuwa ni siku yake ya kuzaliwa duniani!!!

Akionekana ni mwenye furaha na aliyejiachia kila alipo-meet na marafiki zake tofauti katika kutwa nzima ya siku ya leo.. Recho alisema "Siwezi kujibana wala kupretend kuwa sina furaha.. kwani leo ni siku yangu ya kuzaliwa na ni siku yangu ya pekee sana duniani. Mungu awabariki wazazi wangu".

Nayo Blog pekee inayohusika na ku-Update habari zote zinazowahusu wasanii, pamoja na chochote kinachohappen katika jamii ya Watanzania Bongo Look Up inamtakia na A Birthday Girl huyu (Recho) Maisha marefu na yenye Mafanikio Daima!!!

No comments:

Post a Comment