Tuesday, March 5, 2013

ZIARA YA MWANAMUZIKI WA KIMAREKANI MAYA AZURENCA BARANI AFRICA, YAIGUSA T.H.T (MATUKIO KATIKA PICHA)

Aunty Sadaka Akimwelezea jambo Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani mara walipolitembelea Jumba la Vipaji Tanzania (T.H.T)
Maya akieleza jambo fulani mbele ya Aunty Sadaka Pamoja na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani ndani ya Ofisi za Jengo la T.H.T


Kemmi akimtembeza Maya kumuonyesha Vitengo tofauti vinavyopatikana ndani ya Mjengo wa T.H.T, Hapa wakiwa studio ya SORROUND SOUND Iliyoko ndani humo.
Maya akisalimiana na Mmoja wa Maproducer wa Sarround Sound, Nash Designer.




Vijana wa T.H.T (Dancers) wakifanya vitu vyao kuwaburudisha wageni.


Mwalimu wa Dancing and Choreographer Msami Giovann akifanya vitu vyake kuburudisha wageni.

Maya akifurahia Burudani Mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Vijana wa T.H.T

Msanii Vumilia toka jumba la Vipaji Tanzania akitumbuiza katika Event hiyo.

Mpiga Tumba na vyombo mbalimbali Boniface, akiwa na mpiga drums Ezeckiel pamoja wakitoa burudani katika Event hiyo.

Maya akifurahia Burudani huku akiwa na mwenyeji wake Kemmi toka T.H.T 


Maya akitoa Burudani

Maya 

Waimbaji wa T.H.T kutoka kushoto ni Alice Kibs, Sundy Gaga, Vumilia, Caby Nedvarda Pamoja na Angel au Malaika.

Maya akiendelea kutoa burudani.

Vijana wa T.H.T wakifurahia burudani iliyokuwa ikitolewa na Maya.


Aliyekuwa Mshiriki wa EBSS Norman Severino akitoa Burudani katika Event hiyo.

Msanii toka Jumba la vipaji Tanzania Lameck Ditto Akisalimiana na Msanii kutoka Marekani Maya.

Mwalimu na Choreoghapher wa T.H.T  Msami Akiwaeleza jambo Aunty Sadaka pamoja na Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Marekani nchini.


Maya akizungumza na Vijana wa T.H.T pamoja na Umati uliofika kushuhudia Ziara yake katika Jumba la Vipaji Tanzania T.H.T.

Watu wakifurahia Burudani zilizokuwa zikitolewa na Vijana wa T.H.T


Vijana wa T.H.T Katika Picha ya Pamoja.


No comments:

Post a Comment