Thursday, March 14, 2013

COCACOLA YAANDAA TAMASHA KUBWA LA MUZIKI JUMAPILI HII COCO BEACH




Kwa wale wapenda burudani, kampuni ya vinywaji ya Cocacola imeandaa tamasha kubwa la muziki jumapili hii kwenye fukwe za Coco Beach kuanzia saa sita kamili mchana. Burudani kali toka kwa Ommy Dimpoz, Linah, Joh Makini, Wanaume TMK na wengine wengi. USIKOSE.

No comments:

Post a Comment